Maseno University Repository

Browsing Department of Kiswahili & Other African Languages by Title

Browsing Department of Kiswahili & Other African Languages by Title

Sort by: Order: Results:

 • Benard Odoyo Okal, Florence Indede, Ernest Sangai Mohochi (Academic Journals, 2017)
  Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya jumla inajumuisha kimaana leksimu mahususi. Uhusiano wa leksimu kihiponimia ulidhukuriwa kuwa unafanana katika lugha anuwai ulimwenguni ...
 • Deborah Nanyama Amukowa, Wangari Mwai, Florence Ngesa Indede (International Journal of Humanities and Social Science, 2012)
  The youth face a Myriad of health related challenges. Progressive nations rely on healthy youths who can engage in national building. However, literature has shown that youths who are the most productive people in society ...
 • Florence Ngesa Indede (Academic Journals, 2008)
  Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kupimia akili yake kiubunifu katika hali ya kutaka kutangamana zaidi na binadamu mwenzake au kutaka kuelewa zaidi ulimwengu ...
 • hilip Lumwamu, Florence Ngesa Indede, Peter Maina Matu (Academic Journals, 2018)
  In this paper, the metaphoric conceptualization of the International Criminal Court (ICC) indictment discourse in Kenya is examined through a data-driven analysis. Much scholarly writing on the ICC intervention in Kenya ...
 • East African Journal of Swahili Studies (2020)
  Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jamii. Tafiti nyingi zilizofanywa zinahusu ...
 • Florence Indede (Academic Journals, 2011)
  Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Mtunzi wa ushairi hupata ilhamu na tajriba zake kutokana na mitagusana na mivutano ya mijadala ya kimaendeleo inayotokea ...
 • Esther Lucy Wesonga, Beverlyne Asiko Ambuyo, Rocha Chimerah (East African Journal of Swahili Studies, 2020)
  Suala la mabadiliko ya hali ya anga ni janga linaloendelea kukumba ulimwengu kwa jumla. Kutokuwepo kwa usawazishaji wa ekolojia ni jambo ambalo linawatia shaka adinasi wengi. Fasihi ni kioo cha jamii na inapaswa kuwasilisha ...
 • Ambuyo Beverlyne Asiko1 (Maseno University, 2014)
  Good governance is a key pillar to sustainable development of any nation. Many conflicts in Africa can be traced to failure in governance, responsible and accountable management as well as failure to cultivate cultures of ...
 • Maurine Kang’ahi, Francis Chisikwa Indoshi, Tony Omusonga Okwach (Scholars Journal of Arts, Humanities and Social Sciences, 2014)
  Abstract: The classroom learning conditions embodies more than physical environment. However, researchers have overly focused on the physical classroom learning environment leaving out other conditions of learning. This ...
 • Maurine Kang’ahi, Francis Chisikwa Indoshi, Tonny Omusonga Okwach, Joseph Osodo (International Journal of Academic Research in Progressive Education and Development, 2012)
  Effective use of learning strategies can greatly improve learners’ achievement. In Hamisi District in Kenya, secondary school students have continued to attain poor results in Kiswahili subject in the Kenya Certificate of ...
 • Wilfrida Kemuma Momanyi, Beverlyne Asiko Ambuyo, Rocha Mzungu Chimerah (East African Journal of Swahili Studies, 2019)
  Tasnifu hii inachanganua athari ya mageuzi ya maneno kwenye muundo wa sentensi sahili ya Ekegusii ikiangazia sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. ...
 • Benard Odoyo Okal, Florence Indede, Ernest Sangai Mohochi (Swahili Forum, 2016)
  Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ...
 • Inger Lassen, Florence Ngesa Indede, Charles Okumu (Academic Journals, 2018)
  This article prepares the ground for contributions included in the special issue by unpacking the concepts of stability, democracy and rights, which are included in the overall theme. It is concerned with how these concepts ...
 • J Jagero, E Mohochi, Florence Indede (International Journal of Humanities and Social Science, 2013)
  Online communication is rapidly changing how language is being used. With the increasing number of social networks people are engaging in various discourses using various languages. Kiswahili is one of the languages being ...
 • Florence Ngesa Indede (Academic Journals, 2018)
  Wars and tribal conflicts disrupt young children who are dependent on their parents for care, empathy, attention and protection. Some children end up in refugee camps unaccompanied by their parents or guardians. ...

Search Maseno University Repository


Browse

My Account