• Mitindo ya Lugha Inayowabainisha Wahusika Wazimu katika Riwaya za Habwe 

      Odhong’, Joseph Ondiek; Amukowa, Debora Nanyama; Asiko, Beverlyne Ambuyo (EASTAFRICAN NATURE& SCIENCE ORGANIZATION, 2023-07-31)
      Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni zinaonyesha ongezeko la idadi ya wazimu katika jamii duniani kote (Kovacevic, 2021). Waandishi wa fasihi wamewaumba wahusika wazimu wakiakisi mazingira wanamoishi. Tangu jadi wahakiki ...