Browsing by Title
Now showing items 5068-5087 of 5283
-
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi yoyote ile. Nchini Kenya, vipengele katika ... -
Uchanganuzi wa Matini Zilizoteuliwa za Ugaidi katika Gazeti la Taifa Leo la Kenya kati ya Oktoba 2010 -Novemba 2011
(Maseno University, 2014)The media in Kenya and other parts of the world have been instrumental in giving the public information on terrorism. Language used by the media in reporting terrorism is important in presenting information on incidents ... -
Uchanganuzi wa Athari ya Mageuzi ya Maneno kwenye Muundo wa Sentensi ya Ekegusii
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)Tasnifu hii inachanganua athari ya mageuzi ya maneno kwenye muundo wa sentensi sahili ya Ekegusii ikiangazia sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. ... -
UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI
(Academia.edu, 2016)Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihiponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ... -
UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI.
(Swahili Forum, 2016)Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ... -
Uchanganuzi wa kileksikografia wa hiponimia za leksimu nomino na vitenzi vya kiswahili na tafsiri zake katika kiluo
(Maseno University, 2018)Ingawa hiponimia hudhihirika miongoni mwa kategoria mbalimbali za maneno, tafiti za Kiswahili zimeelekea kushughulikia hiponimia za nomino na kupuuza kategoria nyingine kama vile vitenzi, vielezi na vivumishi. Tafiti hizi ... -
Uchanganuzi wa kileksikografia wa hiponimia za leksimu nomino na vitenzi vya kiswahili na tafsiri zake katika kiluo
(Maseno University, 2018)Ingawa hiponimia hudhihirika miongoni mwa kategoria mbalimbali za maneno, tafiti za Kiswahili zimeelekea kushughulikia hiponimia za nomino na kupuuza kategoria nyingine kama vile vitenzi, vielezi na vivumishi. Tafiti hizi ... -
Uchanganuzi wa kisemantiki wa mabango ya kiswahili kuhusu Suala la afya mjini Kakamega, Kenya
(Maseno University, 2013)Human communication has undergone various changes over time. The traditional methods of communication that is oral and written communication have been modified by the invention of different modes of communication being ... -
Uchanganuzi wa Kisemantiki-Leksia wa Maneno Teule ya Kiswahili Yaliyotumika Katika Nyimbo Teule Zilizoimbwa na Nonini na Juacali
(Maseno University, 2019)Previous studies indicate that artists generally create abstract art forms that are mostly not comprehensible to the audience. Artists normally use commonplace lexicon in novel ways in their bid to communicate with their ... -
Uchanganuzi wa umilisi wa kiisimu wa wanafunzi wa lugha ya kiswahili katika chuo kikuu cha Maseno nchini Kenya
(Maseno University, 2017)The research has been kindled by the fact that a big percentage of linguistics studies in Kis-wahili in the Kenyan universities is affected by the use of different linguistic vocabularies used during the teaching and ... -
Uchanganuzi wa usemi wa kisiasa kuhusu nchi ya kenya katika blogu teule zilizoandikwa katika Kiswahili
(Maseno University, 2015)Maendeleo ya kiteknolojia kimtandao yanazidi kubadilisha namna masuala ya kisiasa yanavyowasilishwa. Majilio ya kuandika habari na kutolea maoni katika blogu yameshuhudia kuongezeka kwa watu wanaozuru blogu na kuchangia ... -
Uchanganuzi wa uwasilishaji wa kifo katika mashairi teule ya Kiswahili
(Maseno University, 2014)Kifo ni swala zito na linaloibua hisia zaidi. Uwasilishaji wa dhana ya kifo katika tanzu anuwai za fasihi huwa kwa namna tofauti. Katika ushairi kifo huibuliwa kwa lugha ya pekee yenye mnato wa hisia na mashiko zaidi. ... -
Ufasiri Kipragmatiki Wa Diskosi Katika Gazeti La Taifa Leo Juu Ya Uhifadhi Wa Misitu Kenya
(Maseno University, 2013)IKISIRI Matumizi ya mikakati mbalimbali ya kipragmatiki katika diskosi huweza kuzua utata katika kufasiri ujumbe ulionuiwa kumfikia msomaji au msikilizaji. Tamko la msemaji au mwandishi fulani huweza kufasiriwa na ... -
Uganda national forestry authority and enforcement of Forestry Policy 2001: a case of South Busoga Forest Reserve, Mayuge district, Eastern Uganda.
(Medwell Publishing, 2012)Conflict of interest between the legislative and executive arms of government trickle down to institutions aligned to the executive, especially environmental bodies in developing countries with the Western democracy of ... -
Uganda national forestry authority and enforcement of Forestry Policy 2001: a case of South Busoga Forest Reserve, Mayuge district, Eastern Uganda.
(Medwell Publishing, 2012)Conflict of interest between the legislative and executive arms of government trickle down to institutions aligned to the executive, especially environmental bodies in developing countries developing countries Subject ... -
Uganda national forestry authority and enforcement of Forestry Policy 2001: a case of South Busoga Forest Reserve, Mayuge district, Eastern Uganda.
(Medwell Publishing, 2012)Conflict of interest between the legislative and executive arms of government trickle down to institutions aligned to the executive, especially environmental bodies in developing countries developing countries Subject ... -
UGbS-Flex, a novel bioinformatics pipeline for imputation-free SNP discovery in polyploids without a reference genome: finger millet as a case study
(BioMed Central, 2018-12-01)Research on orphan crops is often hindered by a lack of genomic resources. With the advent of affordable sequencing technologies, genotyping an entire genome or, for large-genome species, a representative fraction of the ... -
Uhakiki wa Fonimu na Miundo ya Silabi za Kiswahili
(udsm.ac.tz, 2017)Fonimu ni kipashio kidogo cha sauti ya lugha chenye uwezo wa kubainisha maana na hudhihirika kama irabu au konsonanti. Kama ilivyo katika lugha nyinginezo ulimwenguni, Kiswahili vilevile kina fonimu za kategoria mbili ... -
Uhakiki wa suala la uhifadhi wa mazingira katika tanzu teule za fasihi ya kiswahili ya milenia mpya
(Maseno University, 2014)Hatua nyingi madhubuti zinachukuliwa na wanafasihi na mashirika mbalimbali kuhamasisha binadamu juu ya masuala yanayohusiana na uharibifu wa mazingira pamoja na haja ya uhifadhi wa mazingira. Hii ni kwa sababu wanadamu ... -
Uhakiki wa ubunilizi wa changamoto za ndoa katika riwaya teule za kiswahili kiuhusika na kiusimulizi
(Maseno university, 2021)Ndoa ni asasi muhimu inayoiendeleza jamii na kudumisha uthabiti wake kupitia majukumu yake muhimu ya kuhakikisha wanajamii wapya wanazaliwa na kulelewa. Tafiti za kifasihi na za kisosholojia kuhusu ndoa zinaonyesha kuwa ...