Search
Now showing items 21-24 of 24
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
(2020)
Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jamii. Tafiti nyingi zilizofanywa zinahusu ...
UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI.
(Swahili Forum, 2016)
Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ...
Jinsi Mtindo Katika Ushairi Unavyofundishwa Katika Shule za Upili: Mfano wa Kaunti Ndogo ya Teso Kaskazini, Kaunti ya Busia, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Makala hii inahusu jinsi ambavyo mtindo katika ushairi unavyofundishwa katika shule za upili nchini Kenya. Wasomi mbalimbali wametafiti kuhusiana na jinsi ambavyo vipengee tofautitofauti vya ushairi ...
Matumizi ya Maigizo Kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia Katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha
tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini.
Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya ...