• Login
    • Login
    Advanced Search
    View Item 
    •   Maseno IR Home
    • Theses & Dissertations
    • Doctoral Theses
    • School of Arts and Social Sciences
    • View Item
    •   Maseno IR Home
    • Theses & Dissertations
    • Doctoral Theses
    • School of Arts and Social Sciences
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Lugha ya kitamathali katika mahubiri ya dini ya kikristu

    Thumbnail
    View/Open
    INDEDE Florence NGESA.pdf (95.47Mb)
    Publication Date
    2007
    Author
    INDEDE, Ngesa Florence
    Metadata
    Show full item record
    Abstract/Overview
    Lugha ni chombo cha mawasiliano ambacho hakiwezi kuepukika katika uwanja wowote ule palipo na maongezi hasa mahubiri. Lugha na dini vina historia ndefu kimahusiano hasa tunaporejelea umuhimu na uarnilifu wa lugha katika bibilia. Kwa upande mwengine lugha kitamathali imechukuliwa kuwa ya kimsingi sana katika dini. Hii ni kwa sababu, lugha tamathali ni lugha atharishi ambayo huathiri hisia za watu, huingia katika fikra zao na kuchochea mawazo yao. Miongoni mwa tamathali mbalimbali zikiwemo vinyume, methali, isitiara na nyinginezo, sitiari na tashbiha zina uwezo na kipawa cha kisaikolojia kinachoashiria undani na uimarishaji wa mawasiliano. Hiki ndicho kichocheo kinachowasukuma wanafalsafa na wanauchanganuzi wa semi kuchanganua dhima ya lugha ya kidini kama mbinu ya mawasiliano. Kwa rnisingi hii utafiti huu unalenga maturnizi ya lugha ya kitamathali katika mahubiri ya dini ya kikristu ambapo sitiari na tashbiha ndizo msingi wa utafiti huu. Malengo yake maalum yanahusu; kufafanua rnisingi ya lugha tamathali husika kwa rnielekeo ya wanafalsafa mbalimbali, ubainishaji wa sitiari na tashbiha zinazojitokeza katika mahubiri ya dini ya kikristu katika Kiswahili, kuchanganua maana yake kiuarnilifu na kiuamalifu na mwishowe kutathrnini thamani ya rnielekeo hii ya lugha katika mawasiliano ya dini. Matumizi ya sitiari na tashbiha, na fasiri yake inahusu hasa mazingira ya muktadha na kwa hivyo nadharia za kiuamali ni mielekeo mwafaka tuliyoitumia katika uchanganuzi wa ithibati. Kupitia mbinu za unasaji na ushiriki-utazamaji, katika makanisa ya rniji mikuii mmne nchini Kenya, tulikusanya badhi ya sitiari na tashbiha zinazoturniwa katika mahubiri na kuzichanganua kiuamali, kwa kukadiria maana yake mbali mbali, kisha kuonyesha uamalifu na uarnilifu wa vitendo vitamkwa katika kufikia malengo yaliyonuiwa na mhubiri. Matokeo ya utafiti huu ni kuwa wahubiri huwasilisha uwanja mkubwa wa kufasiria maana mbalimbali ya tamathali husika. Uthibiti wa .maana lengwa hutokana na ushirika wa kimaana kwenye rnisingi ya imani za washirki.
    Permalink
    https://repository.maseno.ac.ke/handle/123456789/4295
    Collections
    • School of Arts and Social Sciences [62]

    Maseno University. All rights reserved | Copyright © 2022 
    Contact Us | Send Feedback

     

     

    Browse

    All of Maseno IRCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    View Usage Statistics

    Maseno University. All rights reserved | Copyright © 2022 
    Contact Us | Send Feedback