Search
Now showing items 1-4 of 4
Uchanganuzi wa Athari ya Mageuzi ya Maneno kwenye Muundo wa Sentensi ya Ekegusii
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Tasnifu hii inachanganua athari ya mageuzi ya maneno kwenye muundo wa sentensi sahili ya Ekegusii ikiangazia sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. ...
Can Habermas' Theory of Communicative Action Provide a Framework of Inspiration for Practices of Discursive Mediation in Post-Election Kenya?
(Scholars Middle East Publishers,, 2019)
This article examines how Habermas‘s theory of communicative action provides insights for mediation processes and conflict resolution in general. It lays its assumptions that people in society are in relationship and that ...
Jinsi Mtindo Katika Ushairi Unavyofundishwa Katika Shule za Upili: Mfano wa Kaunti Ndogo ya Teso Kaskazini, Kaunti ya Busia, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Makala hii inahusu jinsi ambavyo mtindo katika ushairi unavyofundishwa katika shule za upili nchini Kenya. Wasomi mbalimbali wametafiti kuhusiana na jinsi ambavyo vipengee tofautitofauti vya ushairi ...
Matumizi ya Maigizo Kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia Katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha
tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini.
Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya ...