• Lugha ya kitamathali katika mahubiri ya dini ya kikristu 

      INDEDE, Ngesa Florence (Maseno University, 2007)
      Lugha ni chombo cha mawasiliano ambacho hakiwezi kuepukika katika uwanja wowote ule palipo na maongezi hasa mahubiri. Lugha na dini vina historia ndefu kimahusiano hasa tunaporejelea umuhimu na uarnilifu wa lugha katika ...