dc.contributor.author | BENARD ODOYO OKAL | |
dc.date.accessioned | 2020-11-30T08:18:10Z | |
dc.date.available | 2020-11-30T08:18:10Z | |
dc.date.issued | 2017 | |
dc.identifier.uri | https://repository.maseno.ac.ke/handle/123456789/3067 | |
dc.description.abstract | Hivi sasa lugha ya Kiswahili inadhukuriwa sio tu kama lugha ya wanajamii wa Afrika
Mashariki na Kati pekee bali ni miongoni mwa zile lugha kubwa za ulimwengu na
ambazo hutumiwa katika shughuli mbalimbali za binadamu. Hata hivyo, tafiti nyingi
zingali zinahitajika ili kukiboresha katika mawasiliano, uwanja wa leksikografia na
hata masuala ya tafsiri na onomastiki. Lugha ya Kiswahili inafaa kuchangiwa kwa
namna moja au nyingine katika masuala kadha ili iweze kusimama kama lugha
inayokua sio katika sarufi peke yake bali pia katika uzalishaji wa taaluma nyingine
zinazoweza kufunzwa kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Taaluma mojawapo ni ile ya
tafsiri na onomastiki ambazo sasa zimeanza kukwea milima na kuelekea kudhukuriwa
kama taaluma muhimu kwa wanaisimu na hasa wa Kiswahili. Hivyo basi, makala
haya yamechunguza nafasi ya taaluma tafsiri na jinsi inavyochangia mafunzo na
tafsiri katika taaluma ya onomastiki. | en_US |
dc.publisher | Journal of the Institute of Kiswahili Research, Dar Es Salaam | en_US |
dc.title | NAFASI YA TAFSIRI KATIKA TAALUMA YA ONOMASTIKI: UHAKIKI WA MBINU ZAKE KATIKA TAFSIRI YA TOPONOMASTIKI | en_US |
dc.type | Article | en_US |