Now showing items 30-35 of 35

    • Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma 

      Mulwale, Barasa, Ngesa, Florence, Indede, Asiko,Beverlyne Ambuyo (Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)
      Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi yoyote ile. Nchini Kenya, vipengele katika ...
    • Uchanganuzi wa Athari ya Mageuzi ya Maneno kwenye Muundo wa Sentensi ya Ekegusii 

      Wilfrida Kemuma Momanyi, Beverlyne Asiko Ambuyo, Rocha Mzungu Chimerah (East African Journal of Swahili Studies, 2019)
      Tasnifu hii inachanganua athari ya mageuzi ya maneno kwenye muundo wa sentensi sahili ya Ekegusii ikiangazia sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. ...
    • UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI. 

      Benard Odoyo Okal, Florence Indede, Ernest Sangai Mohochi (Swahili Forum, 2016)
      Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ...
    • Unpacking the concepts of stability, democracy and rights 

      Inger Lassen, Florence Ngesa Indede, Charles Okumu (Academic Journals, 2018)
      This article prepares the ground for contributions included in the special issue by unpacking the concepts of stability, democracy and rights, which are included in the overall theme. It is concerned with how these concepts ...
    • The usage of Kiswahili in blog discourse and the effect on its development 

      J Jagero, E Mohochi, Florence Indede (International Journal of Humanities and Social Science, 2013)
      Online communication is rapidly changing how language is being used. With the increasing number of social networks people are engaging in various discourses using various languages. Kiswahili is one of the languages being ...
    • The voice of reason by the children in the wilderness 

      Florence Ngesa Indede (Academic Journals, 2018)
      Wars and tribal conflicts disrupt young children who are dependent on their parents for care, empathy, attention and protection. Some children end up in refugee camps unaccompanied by their parents or guardians. ...