• Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma 

      Mulwale, Barasa, Ngesa, Florence, Indede, Asiko,Beverlyne Ambuyo (Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)
      Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi yoyote ile. Nchini Kenya, vipengele katika ...