Search
Now showing items 1-1 of 1
NAFASI YA TAFSIRI KATIKA TAALUMA YA ONOMASTIKI: UHAKIKI WA MBINU ZAKE KATIKA TAFSIRI YA TOPONOMASTIKI
(Journal of the Institute of Kiswahili Research, Dar Es Salaam, 2017)
Hivi sasa lugha ya Kiswahili inadhukuriwa sio tu kama lugha ya wanajamii wa Afrika
Mashariki na Kati pekee bali ni miongoni mwa zile lugha kubwa za ulimwengu na
ambazo hutumiwa katika shughuli mbalimbali za binadamu. ...