Search
Now showing items 1-2 of 2
Uhusika katika mashairi ya Kiswahili: Malenga wa vumba, Kichomi na Utenzi wa Fumo Liyongo
(Maseno University, 2018)
Uhusika katika ushairi wa Kiswahili ni kipengele ambacho hakitiliwi maanani na wahakiki wengi wa mashairi. Uhusika huu haujitokezi wazi kama ilivyo katika tanzu zingine za fasihi. Aghalabu huwa si dhahiri, huonekana kuwa ...
Uchanganuzi wa kileksikografia wa hiponimia za leksimu nomino na vitenzi vya kiswahili na tafsiri zake katika kiluo
(Maseno University, 2018)
Ingawa hiponimia hudhihirika miongoni mwa kategoria mbalimbali za maneno, tafiti za Kiswahili zimeelekea kushughulikia hiponimia za nomino na kupuuza kategoria nyingine kama vile vitenzi, vielezi na vivumishi. Tafiti hizi ...